• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

NIMERIDHISHWA NA MAENDELEO MRADI WA SHULE YA SEKONDARI KIBUMAYE "Mkuu wa Mkoa wa Mara"

Posted on: December 30th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Mara Mh.Kanali Evans Alfred Mtambi ameonesha kuridhishwa kwake na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa shule ya sekondari Kibumaye iliyopo kata ya Ketare akisema mradi huo utaongeza fursa za elimu kwa vijana na kuboresha mazingira ya kujifunzia.

Amezungumza hayo katika ziara yake Disemba 29, 2025 Halmashauri ya Mji Tarime. Mkuu wa Mkoa amesifu kasi na ubora wa kazi inayotekelezwa, akibainisha kuwa majengo mengi yamekamilika kwa viwango vinavyokubalika pia amesisitiza umuhimu wa kuzingatia ratiba ili shule ianze kutumika kwa wakati uliopangwa.

“Nimeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa shule hii ya sekondari kazi inaonekana kufanyika kwa ubora unaokubalika, mradi huu ni kielelezo cha dhamira ya Serikali inayoongozwa na Mh. Raisi Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kuboresha sekta ya elimu na kuhakikisha watoto wetu wanasoma katika mazingira bora.” Amesema  RC Mtambi

Aidha, amewahimiza wakandarasi na wasimamizi wa miradi kuendelea kudumisha ubora, uwajibikaji na matumizi sahihi ya rasilimali za umma na kutoa wito kwa wananchi kushirikiana na kutoa ulinzi wa miundombinu hiyo ili idumu kwa muda mrefu.

Kwa upande wao, viongozi wa eneo hilo wameeleza kuwa ujenzi wa shule hiyo utapunguza msongamano wa wanafunzi katika shule zilizopo na kuongeza ufaulu kutokana na mazingira bora ya kujifunzia. Wananchi nao wameishukuru Serikali kwa kuwekeza katika elimu na kuahidi kushiriki katika kuilinda na kuitunza shule hiyo.

Mradi huo umegharimu Jumla ya kiasi cha shilingi 584,280,029/=

Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO UNAOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 30, 2025
  • TANGAZO LA VIWANGO VIPYA VYA ADA YA TAKA KUANZIA MWEZI JANUARI MWAKA 2026 HALMASHAURI YA MJI TARIME December 30, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • NIMERIDHISHWA NA MAENDELEO MRADI WA SHULE YA SEKONDARI KIBUMAYE "Mkuu wa Mkoa wa Mara"

    December 30, 2025
  • MAAFISA AFYA NA LISHE HALMASHAURI YA MJI TARIME WATEKELEZA KAMPENI YA MWEZI WA AFYA NA LISHE KWA MTOTO

    December 05, 2025
  • "SIMAMIENI MIRADI NA WASIKILIZENI WANANCHI " Mhe.Mbunge Esther Matiko.

    December 03, 2025
  • TD GIMBANA AWAHIMIZA WAZAZI/WALEZI KUSHIRIKI KAMPENI YA AFYA NA LISHE KWA WATOTO"

    December 02, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

MAELEKEZO YA DC KWA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA NGAZI YA MITAA TARIME MJI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)
  • Instagram account

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.