• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

"SIMAMIENI MIRADI NA WASIKILIZENI WANANCHI " Mhe.Mbunge Esther Matiko.

Posted on: December 3rd, 2025

Mbunge wa Jimbo la Tarime Mjini Mhe.Esther Nicholas Matiko amewasihi madiwani baada ya kula kiapo kujikita zaidi katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kuendelea kutatua changamoto za wananchi kwenye kata zao.

Ameyasema hayo kwenye Baraza maalumu la kuapisha madiwani wa Jimbo la Tarime Mjini uliofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji Tarime.

 "Tunahitaji kufanya kazi kwa ushirikiano, kusikiliza wananchi, kuweka kipaumbele kwenye miradi ya maendeleo na kuhamasisha wananchi kutoshiriki vitendo vya uvunjifu wa amani katika Mji wetu,” Amesema Mh. Matiko.

Aidha Mwenyekiti wa Halmashauiri ya Mji Tarime Mhe. Thobias Elias Ghati amewashukuru madiwani wote kwa kumpigia kura na amewaahidi kuwapa ushirikiano wa kutosha hasa katika usimamizi wa miradi.

"Ninatambua na kuthamini mchango wa madiwani katika kusimamia miradi ya maendeleo. ninawaahidi kutoa ushirikiano wa kutosha kwa madiwani wote ili kuhakikisha miradi inatekelezwa kwa ufanisi na kwa manufaa mapana ya wananchi.”


Kwa upande wake Mkurugenzi wa  Halmashauri ya Mji Tarime Bi.Gimbana Ntavyo amewapongeza madiwani wote walioapishwa leo na kuwahakikishia kuendelea kutoa ushirikiano.

"Tutaendelea kusimamia vizuri miradi mimi pamoja na wataalamu ili kuhakikisha tunakamilisha Miradi yote ya maendeleo iliyopo kwenye kata zetu".



Matangazo

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ULICHOJIANDIKISHIA September 16, 2025
  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO UNAOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA WATENDAJI WA VITUO AMBAO HAWAKUFIKA KWENYE USAILI WA KWANZA ULIOFANYIKA TAREHE 13/10/2025 October 14, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • "SIMAMIENI MIRADI NA WASIKILIZENI WANANCHI " Mhe.Mbunge Esther Matiko.

    December 03, 2025
  • TD GIMBANA AWAHIMIZA WAZAZI/WALEZI KUSHIRIKI KAMPENI YA AFYA NA LISHE KWA WATOTO"

    December 02, 2025
  • DC GOWELE AWATAKA WANANCHI KUTOJIHUSISHA NA VITENDO VYA UVUNJIFU WA AMANI.

    December 01, 2025
  • DC GOWELE AFANYA KIKAO NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA NGAZI MTAA TARIME MJI

    November 21, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

MAELEKEZO YA DC KWA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA NGAZI YA MITAA TARIME MJI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)
  • Instagram account

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.