• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

MAAFISA AFYA NA LISHE HALMASHAURI YA MJI TARIME WATEKELEZA KAMPENI YA MWEZI WA AFYA NA LISHE KWA MTOTO

Posted on: December 5th, 2025

Maafisa Afya na Lishe Halamshauri ya Mji Tarime wametoa matone ya Vitamini A na Dawa za minyoo kwa watoto ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Kampeni ya Mwezi wa Afya na Lishe kwa Mtoto.

Zoezi hilo limefanyika katika kata ya Turwa Mtaa wa Rebu Shuleni kwa watoto wenye umri wa miezi 6–59 ili kudhibiti maambukizi ya minyoo yanayoweza kuathiri ukuaji na afya zao kwa ujumla.

"Tunatoa matone ya Vitamin A na dawa za minyoo ili kuhakikisha watoto wetu wanakuwa na kinga imara, ukuaji mzuri na afya bora wazazi wana nafasi kubwa katika kuhakikisha watoto wanapata huduma hizi kila zinapotolewa, kwa sababu ni hatua muhimu katika ukuaji wa Mtoto" Amesema Everada Fredrick Nfuna

Wazazi na Walezi wa Kata ya Turwa Mtaa wa Rebu wameonesha mwitikio mzuri na kujitokeza kwa wingi katika zoezi hili kuhakikisha watoto wao wanapata huduma hizo muhimu.

''Huduma ya Vitamin A na dawa za minyoo imetupa matumaini mapya tunafurahia kuona serikali ikituletea huduma karibu na jamii, na tutaendelea kushiriki kikamilifu.” Amesema mmoja wa Wazazi.




Maafisa Afya na Lishe wa Halmashauri ya Mji Tarime wanaendelea kutoa wito kwa wazazi na Walezi kuhakikisha wanashiriki kikamilifu kwa kupeleka watoto wao katika huduma hizo zinazoendelea kutolewa mpaka tarehe 31 Disemba mwaka huu ili kuimarisha afya bora na ukuaji wa mtoto.






Matangazo

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ULICHOJIANDIKISHIA September 16, 2025
  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO UNAOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA WATENDAJI WA VITUO AMBAO HAWAKUFIKA KWENYE USAILI WA KWANZA ULIOFANYIKA TAREHE 13/10/2025 October 14, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • MAAFISA AFYA NA LISHE HALMASHAURI YA MJI TARIME WATEKELEZA KAMPENI YA MWEZI WA AFYA NA LISHE KWA MTOTO

    December 05, 2025
  • "SIMAMIENI MIRADI NA WASIKILIZENI WANANCHI " Mhe.Mbunge Esther Matiko.

    December 03, 2025
  • TD GIMBANA AWAHIMIZA WAZAZI/WALEZI KUSHIRIKI KAMPENI YA AFYA NA LISHE KWA WATOTO"

    December 02, 2025
  • DC GOWELE AWATAKA WANANCHI KUTOJIHUSISHA NA VITENDO VYA UVUNJIFU WA AMANI.

    December 01, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

MAELEKEZO YA DC KWA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA NGAZI YA MITAA TARIME MJI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)
  • Instagram account

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.