• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

WANANCHI WA WILAYA YA TARIME WAJITOKEZA KWA WINGI KUTOA MAONI KWA TUME YA UCHUNGUZI.

Posted on: January 10th, 2026

Wananchi wa wilaya Tarime walioathirika na matukio ya wakati na baada ya uchaguzi mkuu octoba 29, 2025 wametoa maoni na ushauri wao kwa tume ya uchunguzi wa matukio ya wakati na baada ya ucahguzi.

Maoni hayo yametolewa na kupokelewa Januari 09, 2026 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Tarime ikihusisha matukio ya vifo, kupata majeraha na uharibifu wa mali.

Baadhi ya wananchi wametumia fursa hiyo kueleza yaliyojiri ili kusaidia kupatikana kwa haki na kuzuia matukio kama hayo siku zijazo.


Aidha Mwenyekiti wa Wajasiriamali ndugu Endrew Otaigo amesema baada ya soko la Rebu na soko kuu la Tarime kufungwa kwa muda Matunda, Nyanya na bidhaa nyingine zilioza na wajasiriamali 9 walichomewa meza zao, kama kuna namna ya kupata fidia tunaiomba serikali itusaidie.

Kwa upande ya baadhi ya wananchi wameitaka tume kuharakisha uchunguzi ili kuweza kujua hatua gani zitachukuliwa kwa ndugu jamaa na marafiki waliopotea na waliopata madhara.  

Kwa niaba ya Tume Balozi Radhia Msuya amewamepongeza mwitikio mkubwa wa wananchi huku akisisitiza wananchi kuendelea kutoa maoni yao kupitia tovuti ya Tume ya Uchaguzi.


Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO UNAOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 30, 2025
  • TANGAZO LA VIWANGO VIPYA VYA ADA YA TAKA KUANZIA MWEZI JANUARI MWAKA 2026 HALMASHAURI YA MJI TARIME December 30, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • WANANCHI WA WILAYA YA TARIME WAJITOKEZA KWA WINGI KUTOA MAONI KWA TUME YA UCHUNGUZI.

    January 10, 2026
  • DC GOWELE AONGOZA MKUTANO WA BARAZA LA USHAURI WILAYA YA TARIME

    January 06, 2026
  • VIKUNDI VYA TASAF VYAPATIWA MAFUNZO YA KILIMO CHA ALIZETI TARIME MJI

    January 01, 2026
  • NIMERIDHISHWA NA MAENDELEO MRADI WA SHULE YA SEKONDARI KIBUMAYE "Mkuu wa Mkoa wa Mara"

    December 30, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

MAELEKEZO YA DC KWA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA NGAZI YA MITAA TARIME MJI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)
  • Instagram account

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.