• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

DC GOWELE AONGOZA MKUTANO WA BARAZA LA USHAURI WILAYA YA TARIME

Posted on: January 6th, 2026

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Meja Edward Gowele ameongoza mkutano wa Baraza la ushari kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa mpango na bajeti ya mwaka wa Fedha 2025/2026

 Mkutano huo umefanyika katika ukumbu wa Halmashauriya Mji Tarime Januari 05, 2026 ambapo changamoto zilizopo na mapendekezo ya kuboresha utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Wilaya ya Tarime vimejadiliwa.

Katika mkutano huo Afisa Mipango wa Halmashauri ya Mji Tarime ametoa taarifa ya utekelezaji wa bajeti na miradi, ikijumuisha vipaumbele vilivyotekelezwa katika sekta kama, Elimu, Utawala, Sekta ya Afya na Maendeleo ya Jamii.

Sambamba na hayo wajumbe wa mkutano huo wamemshukuru Mkuu wa wilaya na kutoa baadhi ya mapendekezo ili kuboresha maendeleo katika Wilaya ya Tarime.



''Tuimarishe ushirikiano kati ya serikali, sekta binafsi na asasi za kiraia ili kuongeza tija kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo yetu"amesema Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Hamza Kyeibanja.

"Tudumishe malezi kwa vijana wetu kwa kutumia wazee waliopo katika mitaa na vijij vyetu kwani vijana ni nguvu kazi katika maendeleo yetu" Amesema mwenyekiti wa baraza la ushauri la Wazee Joseph Nyiraha.

Aidha Mkuu wa wilaya ya Tarime amesisitiza kuzingatia maandalizi ya mapokeo ya wanafunzi wa awali, shule ya Msingi na Sekondari kwa mwaka mpya wa masomo 2026.

"Watoto wsikose haki yao ya Msingi ya kwenda shule changamoto binafsi kama sare za shule zisiwekikwazo kwa mtoto kutokuhudhuria masomo" Amesema Gowele.



Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO UNAOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 30, 2025
  • TANGAZO LA VIWANGO VIPYA VYA ADA YA TAKA KUANZIA MWEZI JANUARI MWAKA 2026 HALMASHAURI YA MJI TARIME December 30, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • DC GOWELE AONGOZA MKUTANO WA BARAZA LA USHAURI WILAYA YA TARIME

    January 06, 2026
  • VIKUNDI VYA TASAF VYAPATIWA MAFUNZO YA KILIMO CHA ALIZETI TARIME MJI

    January 01, 2026
  • NIMERIDHISHWA NA MAENDELEO MRADI WA SHULE YA SEKONDARI KIBUMAYE "Mkuu wa Mkoa wa Mara"

    December 30, 2025
  • MAAFISA AFYA NA LISHE HALMASHAURI YA MJI TARIME WATEKELEZA KAMPENI YA MWEZI WA AFYA NA LISHE KWA MTOTO

    December 05, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

MAELEKEZO YA DC KWA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA NGAZI YA MITAA TARIME MJI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)
  • Instagram account

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.