• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

WAHUDUMU WA AFYA TARIME MJI WAJENGEWA UWEZO WA KUTUMIA VIFAA TIBA

Posted on: June 26th, 2025

Wahudumu wa afya katika Hospitali ya Mji Tarime wamejengewa uwezo wa kutumia vifaa tiba vya kisasa kwenye utoaji wa Huduma za afya katika jengo la wagonjwa la wagonjwa wa dharura 

Mafunzo hayo yametolewa na Madktari bingwa wa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao wameweka kambi katika hospitali hiyo kutoa Huduma za Kibingwa kwa wananchi

Akizungumza na waandishi wa Habari baada mafunzo hayo kaimu Mganga mfawidhi wa hospitali hiyo Dkt. Elizabeth Swai amesema mafunzo hayo ni kuwaongezea ujuzi wauguzi kwenye utendaji kazi wao

"Haya mafunzo ya kutumia vifaa hivi vya kisasa yatatuongeza ujuzi ili wagonjwa wetu wa dharura wapate Huduma vizuri hivyo tunawashukuru Sana"

Timu ya madaktari bingwa hao wataendelea kutoa Huduma za Kibingwa katika Hospitali hiyo kuanzia saa moja asubuhi hadi kumi na moja jioni na yatafungwa tarehe 28/06/2025

Matangazo

  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU LA HALMASHAURI YA MJI TARIME May 23, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • WAHUDUMU WA AFYA TARIME MJI WAJENGEWA UWEZO WA KUTUMIA VIFAA TIBA

    June 26, 2025
  • MBUNGE KEMBAKI AKABIDHI MADAWATI 150 TARIME MJI

    June 24, 2025
  • WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KUHESHIMU HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • RC MTAMBI AIPONGEZA TARIME MJI KWAKUPATA HATI SAFI MARA 5 MFULULIZO

    June 05, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

DAS TARIME AITAKA TARIME TC KUSIMAMIA USAFI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.