• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

DC GOWELE AFUNGUA MAFUNZO KWA MADIWANI

Posted on: January 12th, 2026

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Meja Edward Gowele leo January 12 ,2026 amefungua rasmi mafunzo maalaumu kwa Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Mji Tarime pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kiutendaji, kisheria na kimaadili ili waweze kutekeleza majukumu yao ya uongozi, uwakilishi na usimamizi wa rasilimali za Halmashauri kwa ufanisi na tija.

Mafunzo hayo yanatolewa katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Tarime na wawezeshaji kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa wakishirikiana na OWM-TAMISEMI..

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo DC Gowele amewataka Madiwani kutumia mafunzo hayo kama fursa ya kuongeza uelewa wao kuhusu majukumu yao, misingi ya uongozi bora pamoja na kuimarisha uwajibikaji kwa wananchi waliowachagua.

Aidha, amewakumbusha madiwani kuzingatia maadili ya uongozi, mshikamano na  ushirikiano na wataalamu wa Halamshauri ili kuhakikisha shughuli za kimaendeleo zinakuwa na tija kwa wananchi.

"Niwaombe waheshimiwa madiwani kuzingatia maadili ya ungozi, uadilifu na uwajibikaji kwani mna dhamana ya wananchi na mnapaswa kuwa kioo na mfano bora katika Jamii" Amesema Gowele.

Mafunzo hayo yanatarajiwa kudumu kwa muda wa siku 2 chini ya wakufunzi Dr.Samsoni Msillu, Manumbu Hezron na Geofrey Ndunguru kutoka chuo cha Serikali za Mitaa na Yustina Bubinza kutoka TAMISEMI

Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO UNAOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 30, 2025
  • TANGAZO LA VIWANGO VIPYA VYA ADA YA TAKA KUANZIA MWEZI JANUARI MWAKA 2026 HALMASHAURI YA MJI TARIME December 30, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • DC GOWELE AFUNGUA MAFUNZO KWA MADIWANI

    January 12, 2026
  • DC GOWELE AAHIDI KUUMALIZA MGOGORO WA ARDHI NDANI YA WIKI MOJA KATA YA BOMANI

    January 11, 2026
  • WANANCHI WA WILAYA YA TARIME WAJITOKEZA KWA WINGI KUTOA MAONI KWA TUME YA UCHUNGUZI.

    January 10, 2026
  • DC GOWELE AONGOZA MKUTANO WA BARAZA LA USHAURI WILAYA YA TARIME

    January 06, 2026
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

MAELEKEZO YA DC KWA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA NGAZI YA MITAA TARIME MJI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)
  • Instagram account

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.