• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

DC GOWELE AFANYA KIKAO NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA NGAZI MTAA TARIME MJI

Posted on: November 21st, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Meja Edward Gowele ameongoza kikao maalumu kwa wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ngazi ya Mtaa Halmashauri ya Mji Tarime kwa lengo la kujadili hali ya usalama na namna ya kuimarisha ulinzi katika jamii. 

Akizungumza katika kikao hicho ambacho kimefanyika Leo katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Tarime Gowele amezitaka kamati hizo kuongeza ushirikiano na kutoa taarifa mapema kuhusu viashiria vya uvunjifu wa amani ili kudhibiti matukio kabla hayajawa makubwa.

“Kamati za ulinzi na usalama ngazi ya Mtaa ni nguzo muhimu katika kufanikisha usalama wa mitaa yetu. Nawasihi muimarishe Kasi ya utoaji taarifa za viashiria vyote vya uvunjifu wa amani na kusimamia uadilifu wenu katika utendaji wa kila siku".Alisema Gowele

Pia ameelekeza Kuwepo kwa orodha ya idadi ya wakazi katika kila mtaa "Kanzi Data" wakiwemo wageni waliopanga na taraarifa za wanapotoka, kuimarisha mifumo ya nyumba kumi kimu na kufatilia mienendo ya wakazi kwenye mitaa yao.

Kwa upande wa wajumbe wa kamati hizo wamemuhakikishia Mkuu wa wilaya hiyo kufanyia kazi maelekezo yote aliyoyatoa ili kuimarisha ulinzi na usalama kwa wananchi.

Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO UNAOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 30, 2025
  • TANGAZO LA VIWANGO VIPYA VYA ADA YA TAKA KUANZIA MWEZI JANUARI MWAKA 2026 HALMASHAURI YA MJI TARIME December 30, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • DC GOWELE AFUNGUA MAFUNZO KWA MADIWANI

    January 12, 2026
  • DC GOWELE AAHIDI KUUMALIZA MGOGORO WA ARDHI NDANI YA WIKI MOJA KATA YA BOMANI

    January 11, 2026
  • WANANCHI WA WILAYA YA TARIME WAJITOKEZA KWA WINGI KUTOA MAONI KWA TUME YA UCHUNGUZI.

    January 10, 2026
  • DC GOWELE AONGOZA MKUTANO WA BARAZA LA USHAURI WILAYA YA TARIME

    January 06, 2026
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

MAELEKEZO YA DC KWA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA NGAZI YA MITAA TARIME MJI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)
  • Instagram account

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.