• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

RC MTAMBI AWAONGOZA VIONGOZI NA WANANCHI KILELE CHA NANENANE NYAKABINDI

Posted on: August 8th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe Kanali Evans Alfred Mtambi amewaongoza viongozi mbalimbali wa Serikali, Viongozi wa vyama vya siasa watumishi na wananchi wa kanda ya Ziwa Mashariki kuadhimisha kilele cha maonesho ya nanenane

Maadhimisho hayo yamefanyika leo katika viwanja vya Nyakabindi Vilivyopo Halmashauri ya Mji Bariadi ambapo pamoja na viongozi wengine alipata nafasi ya kutembelea mabanda mbalimbali 

"Naona kazi nzuri zinazofanywa na wananchi nimwambie tu Serikali inaendelea kutoa mchango Mkubwa kwenye hii sekta ya kilimo, ufugaji na uvuvi ambayo ni muhimu Sana kwa Taifa letu" amesema Mtambi

Aidha, amewataka wananchi kutumia vyema elimu waliopata toka kwa wataalamu walikuwa katika mabanda mbali mbali ili kufanya kilimo cha kisasa na chenye matokeo cha ya

Maonesho ya nanenane yalianza toka tarehe 1 Mwezi wa 8 na yamehitimishwa leo huku yakibeba kauli mbiu ya "chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo endelevu ya kilimo, Mifumo na uvuvi 

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2025 NGAZI YA MKOA NA WILAYA July 05, 2025
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU LA HALMASHAURI YA MJI TARIME May 23, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • MWENGE WA UHURU WAZINDUA,WATEMBELEA NA KUWEKA JIWE LA MSINGI MIRADI YA 1.8 BILIONI TARIME MJI

    August 22, 2025
  • RC MTAMBI AWAONGOZA VIONGOZI NA WANANCHI KILELE CHA NANENANE NYAKABINDI

    August 08, 2025
  • MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI NGAZA KATA TARIME MJI YAHITIMISHWA

    August 06, 2025
  • WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI WALA KIAPO NA KUANZA MAFUNZO TARIME MJINI

    August 04, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

HOTUBA YA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA TARIME MJINI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.