• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

MIL 450 ZATOLEWA KWA MIKOPO YA VIJANA, WANAWAKE NA WALEMAVU TARIME MJI

Posted on: December 20th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Meja Edward Flowin Gowele amekabidhi hundi ya jumla ya Kiasi cha Tsh. 450,000,000 ikiwa ni mkopomkwa makundi ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika Halmashauri ya Mji Tarime 

Zoezi hilo limefanyika leo katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Tarime huku akivisisitizxa vikundi hivyo kuhakikisha wanarejesha mikopo hiyo kama walivyokubaliana ili waendelee kuwa na sifa chanya ya kupatiwa mikopo kipindi kingine

"Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha hizi tena kwaajili ya kuendeleza maendeleo katika biashara zenu hivyo tuwe waaminifu katika kuzirudisha ili muendelee kupata sifa za kupewa mikopo wakati mwingine" Amesema Gowele

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tarime Ndg. Gimbana Emmanuel Ntavyo amewasisitiza wanavikundi hao kuhakikisha wanakumbushana marejesho ya kila mwezi ili kuondoa usumbufu wa ufuatiliaji na hatimaye kuchukuliwa hatua

"kila mmoja awe na jukumu la kukumbushia marejesho ya kila mwezi ili kuondoa usumbufu wa ufuatliaji ina ili litaendelea kuwapa sifa za kupewa mkopo mwingine kipindi kingine" amesema Gimbana

Jumla ya shilingi Milioni 450 zimetolewa kwa vikundi 32 ambapo vijana ni vikundi 10, wanawake ni vikundi 13 na watu wenye ulemavu vikundi 9

Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO UNAOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 30, 2025
  • TANGAZO LA VIWANGO VIPYA VYA ADA YA TAKA KUANZIA MWEZI JANUARI MWAKA 2026 HALMASHAURI YA MJI TARIME December 30, 2025
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI WA VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA January 22, 2026
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • "UVAMIZI WA ARDHI NI KOSA NA NI KITU AMBACHO HAKIKUBALIKI KISHERIA " DC GOWELE

    January 27, 2026
  • DC GOWELE AFUNGUA MAFUNZO KWA MADIWANI

    January 12, 2026
  • DC GOWELE AAHIDI KUUMALIZA MGOGORO WA ARDHI NDANI YA WIKI MOJA KATA YA BOMANI

    January 11, 2026
  • WANANCHI WA WILAYA YA TARIME WAJITOKEZA KWA WINGI KUTOA MAONI KWA TUME YA UCHUNGUZI.

    January 10, 2026
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

MAELEKEZO YA DC KWA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA NGAZI YA MITAA TARIME MJI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)
  • Instagram account

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.