• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

WAZEE WA MILA TARIME WAKABIDHIWA MIZINGA YA NYUKI

Posted on: July 28th, 2025

Wazee wa mila toka koo 12 na Wazee wa baraza katika Wilaya ya Tarime wamekabidhiwa mizinga ya nyuki 143 kwaajili ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa nyuki katika mistu iliyopo kwenye koo hizo

Wakikabidhi mizinga hiyo Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Evans Alfred Mtambi pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Meja Edward Flowin Gowele wamewataka wazee hao kuhakikisha wanatumia mizinga hiyo kama ilivyokusudiwa ili kujikwamua kiuchumi

"Serikali inaendelea kutengeneza mazingira rafiki kwa wazee kwani ninyi ni watu muhimu sana kwenye jamii yetu hivyo hii ni hatua nzuri tuna imani mizinga hii mtakayo pewa mtaitumia vyema na itasaidia katika kuhifadhi misitu yetu" amesema Mtambi

kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Tarime amewahakikishioa wazee hao kuendelea kuwatafutia miradi mbalimbali ili waweze kuimarika kiuchumi kwani wanamsaada mkubwa katika kuhakikisha Tarime inakuwa ya amani na utulivu muda wote

"Tutaendelea kuwatafutia miradi mbalimbali lengo letu muwe vizuri kifedha na hii itasaidia kutatua changamoto mbalimbali za jamii na Wilaya yetu kwa ujumla" amesema Gowele

kwa upande wao Wazee wa Mila na wazee wa Baraza wameishukuru Serikali kwakuwajali na kuahidi kuendelea kutoa ushirikiano pale watakapohitajika

Jumla ya mizinga 143 imekabidhiwa kwa Wazee wa Mila kwenye koo 12 na wazee wa Baraza yenye jumla ya Kiasi cha TZS. Milioni 9.5 

Matangazo

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ULICHOJIANDIKISHIA September 16, 2025
  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO UNAOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA WATENDAJI WA VITUO AMBAO HAWAKUFIKA KWENYE USAILI WA KWANZA ULIOFANYIKA TAREHE 13/10/2025 October 14, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • WANANCHI TARIME MJI WAJITOKEZA JUPIGA KURA

    October 29, 2025
  • MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA TARIME YAHITIMISHWA

    October 27, 2025
  • DC GOWELE AWATAKA WAENDESHA PIKIPIKI KUDUMISHA AMANI SIKU YA UCHAGUZI

    October 27, 2025
  • WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI WAHIMIZWA KUFUATA SHERIA ZA UCHAGUZI

    October 26, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

Tangazo la Uchaguzi Jimbo la Tarime Mjini
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)
  • Instagram account

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.