• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

WAALIMU TARIME MJI WAPONGEZWA KUONGEZA UFAULU

Posted on: July 28th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe Meja Edward Flowin Gowele amewapongeza waalimu wa shule za Msingi katika Halmashauri ya Mji Tarime kwa kuendelea kuongeza kiwango cha ufauru kwa wanafunzi katika shule zao 

Pongezi hizo amezitoa leo katika ukumbi wa chuo cha Ualimu Tarime wakati wa kwenye wa elimu wa mwaka wa kutathmini maendeleo ya elimu katika Halamshauri ya Mji Tarime 

''Kiwango cha Ufaulu kinaenda kinapanda hii inaonesha jinsi gani mnapambana watoto wetu wapate elimu nzuri, Hongereni sana na tusiishie hapo tuzidi kuwa wabunifu ili tufike malengo makubwa" Amesema Gowele

Aidha, amewataka kufatilia kila siku wazazi ambao huwa hawafiki shuleni ili Serikali iwachukulie hatua ya kuwanyima watoto wao haki ya msingi ya kupata elimu

kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tarime Bi. Gimbana Ntavyo amewasisitiza waalimu hao kuendelea kutimiza majukumu yao kwakuongeza ubunifu wa ufundishaji ili kurahisisha uelewa kwa wanafunzi

Mwaka 2023 Halamshauri ya Mji Tarime kwa shule za Msingi ilifaulisha kwa asilimia 78 huku mwaka 2024 ufaulu uliongezeka kwa asilimia 82

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2025 NGAZI YA MKOA NA WILAYA July 05, 2025
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU LA HALMASHAURI YA MJI TARIME May 23, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • WAALIMU TARIME MJI WAPONGEZWA KUONGEZA UFAULU

    July 28, 2025
  • WAZEE WA MILA TARIME WAKABIDHIWA MIZINGA YA NYUKI

    July 28, 2025
  • WAGANGA WAKUU TANZANIA WAMEMTUNUKIA RAIS SAMIA TUZO

    July 12, 2025
  • DC GOWELE ATATUA MGOGORO WA ARDHI MTAA WA UWANJA WA NDEGE TARIME MJI

    July 10, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

DAS TARIME AITAKA TARIME TC KUSIMAMIA USAFI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.