• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

TARIME MJI YAENDESHA ZOEZI LA UHAKIKI, USAJILI NA UGAWAJI WA VITAMBULISHO VYA BIMA YA AFYA KWA WOTE KWA TASAF AWAMU YA KWANZA.

Posted on: February 14th, 2026

Halmashauri ya Mji Tarime kwa kushirikiana na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya imeendesha zoezi la uhakiki, usajili na kugawa vitambulisho vya Bima ya Afya kwa wote baada ya kuwapiga picha na kuchukua alama za vidole kutoka kwa watu wa kaya zisizo kuwa na uwezo zilizopo kwenye mpango wa TASAF awamu ya kwanza.

Zoezi hilo limefanyika katika vituo vilivyotengwa kwa ajili ya uhakiki ambavyo ni kituo cha ujenzi kilichopo kata ya Bomani, kituo cha Nkende kilichopo kata ya Nkende, Kituo cha ketare kilichopo kata ya ketare pamoja na kituo cha Kenyamanyori kilichopo kata ya Kenyamanyori.

Akizunguma kuhusu zoezi hilo Mratibu wa Bima ya Afya Halmashauri ya Mji Tarime ndugu Masatu Salige Sospeter amewasihi viongozi wa Mitaa kuendelea kushiriki katika zoezi hili kikamilifu ili kuhakikisha walengwa wote wanafikiwa kwa wakati.

"Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bima ya Afya imeweka utaratibu maalum wa kutambua na kusajili kaya zisizo kuwa na uwezo zilizopo kwenye mpango wa TASAF ili ziweze kupatiwa vitambulisho vya Bima ya Afya kwa Wote bila kikwazo cha kifedha hivyo tunawasihi viongozi wa Mitaa kuendelea kushirikiana nasi kuhakikisha walengwa wote wanafikiwa kwa wakati.” Amesema Sospeter.

Kwa upande wao wananchi waliojitokeza katika zoezi hilo wamemshukuru Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote kwani wanauhakika wa kupata huduma za Afya bila hofu ya kushindwa kulipia gharama za Matibabu.

Zoezi hilo ni sehemu ya jitihada za Serikali kuhakikisha kila mwananchi anakuwa na kinga ya kifedha dhidi ya gharama za matibabu na kupata huduma bora za afya bila vikwazo pia ni moja ya ahadi za siku 100 za Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO UNAOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 30, 2025
  • TANGAZO LA VIWANGO VIPYA VYA ADA YA TAKA KUANZIA MWEZI JANUARI MWAKA 2026 HALMASHAURI YA MJI TARIME December 30, 2025
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI WA VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA January 22, 2026
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • TARIME MJI YAENDESHA ZOEZI LA UHAKIKI, USAJILI NA UGAWAJI WA VITAMBULISHO VYA BIMA YA AFYA KWA WOTE KWA TASAF AWAMU YA KWANZA.

    February 14, 2026
  • VIKUNDI VYA MAENDELEO TARIME MJI VYAPIGWA MSASA

    February 06, 2026
  • MADIWANI TARIME MJI WAPITISHA BAJETI YA BIL 37.9 KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    February 04, 2026
  • "UVAMIZI WA ARDHI NI KOSA NA NI KITU AMBACHO HAKIKUBALIKI KISHERIA " DC GOWELE

    January 27, 2026
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

MAELEKEZO YA DC KWA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA NGAZI YA MITAA TARIME MJI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)
  • Instagram account

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.