• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara/Vitengo
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Maji
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Idara ya Afya
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • TEHAMA
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Mkuu wa wilaya ya Tarime Luteni Kanali Michael Mtenjele akigawa Hundi ya mikopo yenye thamani ya TSH 148,000,000/= kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemevu, 16/12/2021.

Posted on: December 16th, 2021

Halmashauri ya mji Tarime imegawa kiasi cha fedha Tsh. 148,000,000/= katika makusanyo yake ya ndani kwa ajili ya kuwapa mikopo isiyo nariba vikundi vya kiuchumi vya wanawake, Vijana na watu wenye ulemevuikiwa ndio jitihada ya serikali kuvijengea uwezo kiuchumi makundimaalum.


Kwa mwaka wa fedha2021/2022  Halmashauri ya Mji Tarime katika robo ya 2 imetoa kiasicha mikopo yenye thamani ya Tsh. 148,000,000/= (Milioni miamojaarobaini na nane),  kati ya hizo, fedha 47,000,000/= (milioniarobaini na saba ) ni makusanyo ya ndani na fedha Tsh. 101,000,000/=ni fedha za marejesho ya mikopo toka vikundi vilivyopokea mikopo.


NA  AINA YA KIKUNDI  IDADI YA VIKUNDI  IDADI YA WANAKIKUNDI  MIKOPO
 1 Wanawake    13   218   88,800,000.00
  2  Vijana      9    73   35,800,000.00
  3  Watu wenye ulemavu    10   22   23,400,000.00

 Jumla kuu    32  313   148,000,000.00


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA WATENDAJI WA MITAA TARIME TC May 24, 2022
  • Tangazo la Zabuni ya Upimaji wa Viwanja Katika Mji wa Tarime February 20, 2019
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI HALMASHAURI YA TARIME MJI December 16, 2020
  • Tangazo la nafasi za kazi za muda katika zoezi la mradi wa Kupanga, Kupima na Kumilikisha Ardhi. February 17, 2022
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • Kikao cha uelimishaji wa Mpango wa Upimaji Aridhi na uwekaji wa anuani za Makazi

    February 28, 2022
  • Halmashauri ya Mji Tarime imeizawadia kampuni ya M/S MOHAMED BUILDERS L.T.D zabuni ya ujenzi wa soko.

    December 06, 2021
  • Mkuu wa wilaya ya Tarime Luteni Kanali Michael Mtenjele akigawa Hundi ya mikopo yenye thamani ya TSH 148,000,000/= kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemevu, 16/12/2021.

    December 16, 2021
  • Mkuu wa wilaya ya Tarime Luteni Kanali Michael Mtenjele akigawa Hundi ya mikopo yenye thamani ya TSH 148,000,000/= kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemevu, 16/12/2021.

    December 16, 2021
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

Siku ya Mazingira Duniani Kufanya Butiama Kitaifa
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.