• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

MADIWANI TARIME MJI WAMONGEZA RAIS SAMIA

Posted on: May 30th, 2025

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Tarime Mhe. Daniel Komote @danielkomote kwa niaba ya Madiwani wa Halmashauri hiyo amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu kwa utoaji waa fedha za miradi mbalimbali kwenye kila kata

Pongezi hizo amezitoa leo wakati wa kuhitimisha mkutano wa Baraza la madiwani kla robo ya tatu 2024/2025 uliofanyika leo katika ukumbi wa Halmshauri ya Mji Tarime 

"Kiukweli Tunamshukuru sana Mhe Rais kwa kipindi chake cha miaka 4 ametuletea fedha nyingi sana za maendeleo kwenye kila Kata katika Halmashauri yetu sisi Madiwani tutaendelea kusimamia fedha hizo ili thamani yake ionekane kwenye miradi" amesema Komote

Aidha, amewashukuru wananchi na wafanyabiashara katika Halmashauri hiyo kwakuendelea kuwa wazalendo kwenye ulipaji wa kodi mbalimbali jambo lililopelekea ujengwaji wa miradi mbalimbali kupitia mapato ya ndani

Kwa upande wake kaimu Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mji Tarime Bw. Erasto Mbunga amewaahidi Madiwani kuendelea kushirikiana nao ili kuleta maendeleo katika Halmashauri hiyo 

Matangazo

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ULICHOJIANDIKISHIA September 16, 2025
  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO UNAOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA WATENDAJI WA VITUO AMBAO HAWAKUFIKA KWENYE USAILI WA KWANZA ULIOFANYIKA TAREHE 13/10/2025 October 14, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • MAKARANI NA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA JIMBO LA TARIME MJINI WALA KIAPO

    October 25, 2025
  • INEC YAIMIZA WANANCHI TARIME MJINI KUJITOKEZA KUPIGA KURA

    October 24, 2025
  • TUNAMSHUKURU RAIS SAMIA - WANANCHI TARIME MJI

    October 18, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUCHANNGAMKIA FURSA YA MADAKTARI BINGWA TARIME MJI

    October 16, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

Tangazo la Uchaguzi Jimbo la Tarime Mjini
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)
  • Instagram account

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.