• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

KAMATI YA ULINZI NA USALAMA TARIME YAFANYA USAFI SOKO LA REBU

Posted on: March 28th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Meja Edward Flowin Gowele ameiongoza kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya ya Tarime kufanya usafi wa mazingira katika soko la Rebu na baadae kufanya mazoezi ya viungo

Usafi huo umefanyika leo majira ya asubuhi ambapo amewata wananchi kuhamasika kuendelea kufanya usafi ili kujilinda na magonjwa mbalimbali ya mlipuko hasa katika kipindi hiki cha mlipuko wa ugonjwa wa kuhara na kuharisha

"Usafi wa leo ni sehemu ya majeshi haya kuendelea kuwa karibu na wananchi na hili kwetu litakuwa jambo la mwendelezo niwaombe wananchi tuendelee kufanya usafi kila mmoja wetu katika eneo lake hili kuepuka haya magonjwa magonjwa" amesema Gowele

Naye Mkuu wa soko hilo Bi Anna Hosea amemshukuru Mkuu wa Wilaya na kamati yake kwakujitolea kusafisha soko hilo na kumwahidi kuendelea kuwasisistiza wafanyabiashara wa soko hilo kuzingatia swala usafi

Matangazo

  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU LA HALMASHAURI YA MJI TARIME May 23, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • DC GOWELE AWATAKA WANANCHI KUCHANGAMKIA FURSA CHUO CHA FDC

    June 02, 2025
  • MADIWANI TARIME MJI WAMONGEZA RAIS SAMIA

    May 30, 2025
  • SOYA ONE LIMITED YACHANGIA GUNIA 20 ZA MAHINDI KWA SHULE ZA MSINGI TARIME MJI

    May 20, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI MAFUNZO YA UOMBAJI WA VIBADANDA SOKO KUU TARIME

    May 15, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

DAS TARIME AITAKA TARIME TC KUSIMAMIA USAFI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.