• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

DCC TARIME YATOA MAONI KUHUSU DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2025 - 2050

Posted on: August 9th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Kanali Maulid Hassan Surumbu amewaongoza wajumbe na waalikwa kwenye kikao cha kamati ya Ushauri ya Wilaya Ya Tarime kutoa maoni juu ya Dira ya Taifa ya maendeleo ya mwaka 2025 - 2050 

Kikao hicho kimefanyika leo Agosti 9 kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Mji Tarime ambapo kimehusicha Halmashauri ya Mji Tarime na Halmashauri ya Wilaya ya Tarime pamoja na Taasisi zote za serikali, vyama vya siasa na wadau wa maendeleo

"Niwashukuru wajumbe wote mliopata nafasi ya kutoa maoni kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo kiukweli tumepatra mawazo mapya na chanya kwaajili ya maendeleo ya taifa leo niwahakikishie tutayafanyia kazi yote mliotushauri kwaajili ya ujenzi wa Taifa letu" amesema Surumbu

Kwa Upande wao wajumbe wa kikao hicho wameishukuru serikali kwakuweza kutambua michango yao katika kutengeneza Dira ya maendeleo kwa mwaka 2025 hadi 2050 na kuahidi kuendelea kutoa maoni yao kupitia tovuti na simu

Dira ya Taifa ya maendeleo ya mwaka 2025 - 2050 ina lengo la kuchochea kasi  ya ukuaji wa uchumi jumuishi unaopunguza umasikini, unaozalisha ajira na ajira na kuchochea mauzi ya bidhaa zinazozalishwa nchini na kuuzwa nje ya nchi

Maoni ya Dira ya Taifa ya maendeleo kwa mwaka 2025 yanatolewa pia kupitia tovuti ya https://dira2050portal.planning.go.tz au kwa njia ya simu ya mkononi kwa kupiga namba *152*00# na kuchagua namba 8 - Elimu kisha kuchagua namba 4 - Dira 2050

Matangazo

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ULICHOJIANDIKISHIA September 16, 2025
  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO UNAOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA WATENDAJI WA VITUO AMBAO HAWAKUFIKA KWENYE USAILI WA KWANZA ULIOFANYIKA TAREHE 13/10/2025 October 14, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • RAIS DKT SAMIA AAPISHWA KUWA RAIS WA AWAMU YA SITA TANZANIA

    November 04, 2025
  • WANANCHI TARIME MJI WAJITOKEZA JUPIGA KURA

    October 29, 2025
  • MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA TARIME YAHITIMISHWA

    October 27, 2025
  • DC GOWELE AWATAKA WAENDESHA PIKIPIKI KUDUMISHA AMANI SIKU YA UCHAGUZI

    October 27, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

Tangazo la Uchaguzi Jimbo la Tarime Mjini
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)
  • Instagram account

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.