• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

DC GOWELE AWATAKA WAENDESHA PIKIPIKI KUDUMISHA AMANI SIKU YA UCHAGUZI

Posted on: October 27th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Meja Edward Gowele leo amewataka maafisa usafirishaji katika Halmashauri hiyo kuwa mabalozi wa amani na kuepuka kutumika kwa maslahi binafsi kwa ajili ya kuvuruga utulivu wa nchi kuelekea uchaguzi Mkuu October, 29.

Akizungumza katika mkutano maalum uliofanyika katika ukumbi wa CMG, Mkuu huyo wa Wilaya amesema sekta ya usafirishaji ni muhimu katika uchumi na usafirishaji wa wananchi, hivyo ni vyema wakatambua nafasi yao katika kulinda amani na usalama wa taifa.

“Nawaomba msikubali kutumiwa vibaya na mtu yeyote kwa maslahi binafsi. Kazi yenu ni halali na muhimu. Tuwe makini, tuwe raia wema, na tuchague viongozi kwa amani,” amesema Gowele 

Aidha, amewaahidi maafisa usafirishaji hao kuwapatia pikipiki moja kwa ajili ya Ofisi ya umoja wao wa Maafisa usafirishaji, pia amewataka kuendelea kushirikiana na vyombo vya usalama kwa ajili ya kulinda amani na utulivu kuelekea uchaguzi Mkuu October 29.

Kwa upande wao viongozi wa umoja wa maafisa usafirishaji maarufu "Bodaboda" katika wilaya hiyo wameshukuru serikali kwa kuwatambua na kuendelea kushirikiana nao, wakiahidi kuunga mkono jitihada za kudumisha amani wakati wote wa kipindi cha uchaguzi.

Mkutano huo ulihudhuriwa na maafisa wa usalama, wadau wa maendeleo, na baadhi ya wawakilishi wa vyama vya siasa 

Matangazo

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ULICHOJIANDIKISHIA September 16, 2025
  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO UNAOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA WATENDAJI WA VITUO AMBAO HAWAKUFIKA KWENYE USAILI WA KWANZA ULIOFANYIKA TAREHE 13/10/2025 October 14, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA TARIME YAHITIMISHWA

    October 27, 2025
  • DC GOWELE AWATAKA WAENDESHA PIKIPIKI KUDUMISHA AMANI SIKU YA UCHAGUZI

    October 27, 2025
  • WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI WAHIMIZWA KUFUATA SHERIA ZA UCHAGUZI

    October 26, 2025
  • MAKARANI NA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA JIMBO LA TARIME MJINI WALA KIAPO

    October 25, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

Tangazo la Uchaguzi Jimbo la Tarime Mjini
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)
  • Instagram account

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.