• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

DC GOWELE ALIDHISHWA NA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA NYAMISANGURA TARIME MJI

Posted on: March 28th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Meja Edward Flowin Gowele amewaridhishwa na maendeleo ya miradi ya maendeleo mbalimbali iliyopo katika kata ya Nyamisangura Halmashauri ya Mji Tarime

Hayo ameyasema kwenye mkutano na wananchi wa kata hiyo baada ya kumalizika kwa ziara yake fupi na kuwataka wananchi wa Kata hiyo kuendelea kuitunza miradi hiyo ili iweze kuwanufaisha wananchi wengi

"Miradi yetu inaendelea vizuri tunamshukuru sana Mhe. Rais kwakuendelea kutupa fedha za maendeleo nimekagua na nimewaelekeza watumishi washughulikie changamoto zilizopo kwenye hiyo miradi na sisi wananchi tushirikiane kuitunza kwani inatusaidia sisi wenyewe" amesema Gowele

Kwa upande wake Diwani wa Kata hiyo Mhe. Thobias Ghati amemshukuru Mkuu wa Wilaya kuitembelea Kata hiyo na kuahidi kuyafanyia kazi maelekezo yote aliyotoa wakati akizungukia Miradi hiyo

"Mimi niseme Mhe. Asante kwakuja kuwaona wananyamisangura asante pia kwakusikiliza Kero zao nitahakikisha uliyoelekeza yanafanyiwa kazi ili Mji wetu uendelee kupendeza kwa miradi mbalimbali ya maendeleo" amesema Thobias

Mkuu wa Wilaya alitembelea shule ya Msingi ya mahitaji maalumu ya Magufuli, Ujenzi wa madarasa shule ya msingi Turwa, zahanati ya Kata ya Nyamisangura, Daraja la mtaa Bugosi na kumalizia ziara yake kwakusikiliza kero za wananchi wa kata hiyo

Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO UNAOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 30, 2025
  • TANGAZO LA VIWANGO VIPYA VYA ADA YA TAKA KUANZIA MWEZI JANUARI MWAKA 2026 HALMASHAURI YA MJI TARIME December 30, 2025
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI WA VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA January 22, 2026
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • VIKUNDI VYA MAENDELEO TARIME MJI VYAPIGWA MSASA

    February 06, 2026
  • MADIWANI TARIME MJI WAPITISHA BAJETI YA BIL 37.9 KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    February 04, 2026
  • "UVAMIZI WA ARDHI NI KOSA NA NI KITU AMBACHO HAKIKUBALIKI KISHERIA " DC GOWELE

    January 27, 2026
  • DC GOWELE AFUNGUA MAFUNZO KWA MADIWANI

    January 12, 2026
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

MAELEKEZO YA DC KWA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA NGAZI YA MITAA TARIME MJI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)
  • Instagram account

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.