• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

ZAHANATI YA RONSOTI YAANZA KUTOA HUDUMA RASMI

Posted on: November 22nd, 2024

Kaimu Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji Tarime Dkt. Joshua Makoa anawakaribisha wananchi wote kuja kupata matibabu kwenye zahanati ya Ronsoti iliyopo kata ya Nyamisangura ambayo imeanza rasmi kutoa huduma

Zahanati ya Ronsoti iliyopo kata ya Nyamisangura Halmashauri ya Mji Tarime imeanza kutoa huduma za afya rasmi huku wananchi wa Kata hiyo wakijitokeza kwa wingi kuja kupata matibabu

Akizungumza na waandishi wa habari katika zahanati hiyo Kaimu Mganga mkuu wa Halmashauri ya Mji Tarime Dkt. Joshua Makoa amewaomba wananchi kuendelea kujitokeza kwani zahanati hiyo tayari ina kila kitu cha kutoa huduma za afya

“Tunamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwakuendelea kutekeleza miradi ya afya katika Halmashauri yetu hivyo wananchi mnakaribishwa sasa kuja kupata huduma katika zahanati hii kwani imekamilika kwa kila kitu” amesema Makoa

Kwa uapnde wao wananchi wa Kata hiyo wameishukuru Serikali kwakuwasogezea huduma karibu na makazi yao kwani hapo awali walikuwa wanapata changamoto

“Binafsi nasema asante kwa huduma kuwa karibu sasa hata watoto wakiugua itakuwa raisi sasa kuja kuhudumia asante Serikali kwakuendelea kutujali” amesema Rhobi Juma

Zahanati ya Ronsoti imejengwa kwa mapato ya ndani ya Halmashauri hadi kukamilika imetumia jumla ya Tsh 108,000,000/=

Matangazo

  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU LA HALMASHAURI YA MJI TARIME May 23, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • WAHUDUMU WA AFYA TARIME MJI WAJENGEWA UWEZO WA KUTUMIA VIFAA TIBA

    June 26, 2025
  • MBUNGE KEMBAKI AKABIDHI MADAWATI 150 TARIME MJI

    June 24, 2025
  • WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KUHESHIMU HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • RC MTAMBI AIPONGEZA TARIME MJI KWAKUPATA HATI SAFI MARA 5 MFULULIZO

    June 05, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

DAS TARIME AITAKA TARIME TC KUSIMAMIA USAFI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.