• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

WANANCHI WATAKIWA KUCHANNGAMKIA FURSA YA MADAKTARI BINGWA TARIME MJI

Posted on: October 16th, 2025

Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hosptali ya Halmashauri ya Mji Tarime Dkt. Paul Stanslaus amewahasa wananchi kuendelea kujitokeza katika hospatli hiyo kwaajili ya kupata huduma za madaktari bingwa wa Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan walioweka kambi katika hosptali hiyo

Hayo ameaysema leo wakati akiongeza na waandishi wa Habari hospitalini hapo na kusisitiza wananchi kufika kwa huduma zinatolewa kwa bei nafuu sana pamoja na bima za afya

"Nipende kuendelea kuwaalika wananchi kufika katika hosptali yetu ya Mji ambayo iko Bomani kuja kupata huduma hizi ambazo zinatolewa mara moja moja na kwa bei nafuu sana hivyo watumie hii fursa ya leo na kesho kuja kupata matibabu" amesema Paul

Aidha, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwakuendelea kuwaleta madaktari hao katika hospitali hiyo kwani wamekuwa wakitoa msaada mkubwa sana kwa wananchi wa Halmashauri ya Mji Tarime na maeneo jirani

kwa upande wao wananchi wameiomba Serikali kuendelea kuwaleta kwa wingi madaktari hao na kuongeza siku za wao kuwepo Hosptalini hapo

Madkari hao bingwa wa Mhe. Rais Samia walipokelewa toka Jumatatu tarehe 13/10/2025 na watakuwepo mpaka siku ya ijuma tarehe 17/10/2025 wakitoa huduma za kibingwa kwa watoto, wanawake, wanaume, magonjwa ya upasuaji, magonjwa ya ndani pamoja na mtaalamu wa ganzi na usingizi

Matangazo

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ULICHOJIANDIKISHIA September 16, 2025
  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO UNAOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA WATENDAJI WA VITUO AMBAO HAWAKUFIKA KWENYE USAILI WA KWANZA ULIOFANYIKA TAREHE 13/10/2025 October 14, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • WANANCHI WATAKIWA KUCHANNGAMKIA FURSA YA MADAKTARI BINGWA TARIME MJI

    October 16, 2025
  • DC GOWELE AWATAKA WANANCHI TARIME MJI KUKATA VIBALI KABLA YA UJENZI

    October 08, 2025
  • WADAU TARIME MJI WAPEWA ELIMU YA MPANGO KABAMBE WA UBORESHAJI WA MJI

    September 27, 2025
  • TD GiMBANA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA ROBO YA NNE

    September 20, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

HOTUBA YA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA TARIME MJINI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.