• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

WANANCHI WAJITOKEZA KUPATA HUDUMA TOKA KWA MADAKTARI BINGWA WA SAMIA

Posted on: November 11th, 2024

Madaktari bingwa wa Rais Samia Suluhu Hassan leo wameanza kazi rasmi ya kutoa huduma mbalimbali za kibingwa kwa wananchi wa Halmashauri ya Mji Tarime katika Hopstali ya Halmashauri hiyo iliyopo kata ya Bomani

Akizungumza na waandishi waandishi wa Habari Mganga Mfawidhi wa Hosptali hiyo Yonam Charles amesema amewataka wananchi kuendelea kujitokeza kwa wingi kwa siku ambazo huduma zitatolewa kwani ni haraka n ani bei nafuu

“Tumeanza leo kama unavyoona wananchi ni wengi kikubwa waendelee kujitokeza kwa kipindi chote ambao hawa madaktari watakuepo ili waweze kupata huduma za kibingwa tumeweka utaratibu mzuri na watu wanahudumiwa kwa wakati” Amesema Yonam

Kwa upande wao wananchi walioudhuria katika hosptali wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwakuwarejesha tena Madaktri hao kwani uhitaji ulikuwa mkubwa

“Sisi tunasema Asante kwa Rais wetu kutuletea Madktari hawa, wanatusaidia kwa gharama nafuu kabisa hivyo wakimaliza tunaomba tena warejee maana ugonjwa hauna hod” amesema Ginabi Marwa mmoja wa wananchi

Huduma  zinaendelea kuanzia leo tarehe 11/11/2024 hadi tarehe 17/11/2024 kuanzia saa 2 kamili asubuhi hadi saa 10 kamili jioni na huduma za kibingwa zinazotolewa ni pamoja na huduma ya mama na mtoto, Upasuaji, Kinywa na meno, magonjwa ya ndani na Usingizi na Ganzi

Matangazo

  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU LA HALMASHAURI YA MJI TARIME May 23, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • WAHUDUMU WA AFYA TARIME MJI WAJENGEWA UWEZO WA KUTUMIA VIFAA TIBA

    June 26, 2025
  • MBUNGE KEMBAKI AKABIDHI MADAWATI 150 TARIME MJI

    June 24, 2025
  • WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KUHESHIMU HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • RC MTAMBI AIPONGEZA TARIME MJI KWAKUPATA HATI SAFI MARA 5 MFULULIZO

    June 05, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

DAS TARIME AITAKA TARIME TC KUSIMAMIA USAFI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.