• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

WAJUMBE WA KAMATI YA BAJETI TARIME MJI WAPIGWA MSASA

Posted on: November 13th, 2025

Halmashauri ya Mji wa Tarime leo imeendesha mafunzo maalumu ya maandalizi ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2026/2027, yakilenga kuwajengea uwezo wajumbe wa kamati ya bajeti na watumishi juu ya namna ya uandaaji wa bajeti.

Mafunzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Tarime 

Akizungumza wakati wa mafunzo hayo Mkuu wa divisheni ya mipango na uratibu ndugu Victor Magafu amewataka Maafisa bajeti hao kuhakikisha wanayatumia mafunzo hayo vizuri katika uandaaji wa bajeti

"Bajeti bora huanzia kwenye maandalizi mazuri, lengo letu ni kuhakikisha Maafisa bajeti na kila idara inapata uelewa wa kutosha wa namna ya kuandaa bajeti" Amesema Magafu.

Aidha, washiriki wa mafunzo hayo wamepongeza hatua hiyo ya Halmashauri, wakisema imewajengea uwezo wa kitaalamu na kuwapa uelewa wa kutumia mfumo wa PlanRep katika uandaaji wa bajeti.

Mafunzo hayo yametolewa kwa ushirikiano kati ya Halmashauri na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), yakiwa sehemu ya maandalizi ya mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2026/2027.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ULICHOJIANDIKISHIA September 16, 2025
  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO UNAOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA WATENDAJI WA VITUO AMBAO HAWAKUFIKA KWENYE USAILI WA KWANZA ULIOFANYIKA TAREHE 13/10/2025 October 14, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • DC GOWELE AFANYA KIKAO NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA NGAZI MTAA TARIME MJI

    November 21, 2025
  • TARIME MJI YAENDELEA KUFANYA VIZURI HALI YA AFYA NA LISHE

    November 14, 2025
  • DC GOWELE AWATAKA WAZEE WA KOO 12 TARIME KUPINGA VITENDO VYA UVUNJIFU WA AMANI

    November 14, 2025
  • WAJUMBE WA KAMATI YA BAJETI TARIME MJI WAPIGWA MSASA

    November 13, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

MAELEKEZO YA DC KWA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA NGAZI YA MITAA TARIME MJI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)
  • Instagram account

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.