• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

WAENDESHA BVR KIT NA WAANDISHI WASAIDIZI TARIME MJI WALA KIAPO NA KUPATIWA SEMINA

Posted on: April 29th, 2025

Afisa mwandishikishaji wa Halmashauri ya Mji Tarime Bw. Joseph Haymu amewataka Maafisa waandikishaji wasaidizi na Waendesha BVR KIT kwaajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili kuhakikisha wanafanya kazi kulinga na kiapo walichoapa

Hayo ameyasema leo wakati wa kuwaapisha maafisa hao katika ukumbi wa Halmshauri ya Mji na kuwasisitiza kuhakikisha wanafuata sheria na taratibu ili zoezi hilo lifanikiwe

"Tunahitaji mfanye kazi kwakuzingatiwa uzalendo kwani zoezi hili ndilo mwanzo wa maandalizi ya kupata viongozi wa taifa hili, hivyo fuateni utaribu ili kazi hii ikamilike vizuri" amesema Joseph

Kwa upande wao maafisa hao wameishukuru tume kwakuwaamini kufanya kazi hiyo na kuahidi kufuata maelekezo yote waliopta kwenye mafunzo hayo 

Zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili litaanza tarehe 01/05/2025 hadi tarehe 07/05/2025 kwa kila kata na vituo vitafunguliwa kuanzia saa 2 kamili asubuhi hadi saa 12 jioni


Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO KWA VIKUNDI VYA VIJANA, WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU September 30, 2024
  • TANGAZO LA NAMNA YA KUOMBA VIBANDA NA VIZIMBA SOKO KUU JIPYA TARIME May 13, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI MAFUNZO YA UOMBAJI WA VIBADANDA SOKO KUU TARIME

    May 15, 2025
  • MADIWANI WARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA MIRADI MBALIMBALI TARIME MJI

    May 15, 2025
  • WAZAZI WAHIMIZWA KUENDELEA KUCHANGIA CHAKULA MASHULENI

    May 10, 2025
  • MBUNGE KEMBAKI AKABIDHI MADAWATI 70 HALMSHAURI YA MJI TARIME

    May 08, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

DAS TARIME AITAKA TARIME TC KUSIMAMIA USAFI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.