• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

TUNAMSHUKURU RAIS SAMIA - WANANCHI TARIME MJI

Posted on: October 18th, 2025

Wananchi wa Halmashuri ya Mji Tarime leo wamewashukuru madaktari bingwa wa Raisi, Daktari Samia Suluhu Hassan ambao wameweka kambi katika hospitali ya mji Tarime kwa muda wa siku tano kuanzia Tarehe 13 Oktoba 2025 hadi leo tarehe 17 October 2025.

Akizungumza na waandishi wa habari Mgonjwa aliefanyiwa upasuaji amewashukuru madaktari kwa huduma nzuri za kiafya lakini pia ananamuomba Raisi, Dkt. Samia Suluhu Hassan huduma hizi ziwe endelevu na wataalamu wa ndani waweze kujifunza na kuboresha uwezo wao.

"Huduma hizi mara nyingi zinahitaji utaalamu maalum na mara nyingi huwa zinapatikana kwenye miji mikuu au hospitali za rufaa hivyo uwepo wa madaktari bingwa katika miji midogo inasaidia kupunguza gharama za usafiri na kuondoa vikwazo kwa wagonjwa ambao hawawezi kuhimili umbali mrefu" Amesema mmoja wa wagonjwa.

Aidha kiongozi wa madaktari hao Dkt. Prosper Augustine Kilemwa Daktari bingwa wa usingizi tiba na ganzi salama amewashukuru wananchi kwa kuchangamkia fursa ya ujio wao hospitalini hapo.

''Tunashukuru wananchi wa mji Tarime wamejitokeza kwa wingi na tumeweza kutoa huduma kwa waledi mkubwa kama inavyopaswa'' Amesema Dkt Kilemwa.

Madkari hao bingwa wa Mhe. Rais Samia walipokelewa toka Jumatatu tarehe 13/10/2025 na na wanahitimisha huduma za matibabu ya kiafya leo tarehe 17/10/2025 wakitoa huduma kwa watoto, wanawake, wanaume, magonjwa ya upasuaji, magonjwa ya ndani, ganzi na usingizi.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ULICHOJIANDIKISHIA September 16, 2025
  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO UNAOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA WATENDAJI WA VITUO AMBAO HAWAKUFIKA KWENYE USAILI WA KWANZA ULIOFANYIKA TAREHE 13/10/2025 October 14, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • TD GIMBANA AWAHIMIZA WAZAZI/WALEZI KUSHIRIKI KAMPENI YA AFYA NA LISHE KWA WATOTO"

    December 02, 2025
  • DC GOWELE AWATAKA WANANCHI KUTOJIHUSISHA NA VITENDO VYA UVUNJIFU WA AMANI.

    December 01, 2025
  • DC GOWELE AFANYA KIKAO NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA NGAZI MTAA TARIME MJI

    November 21, 2025
  • TARIME MJI YAENDELEA KUFANYA VIZURI HALI YA AFYA NA LISHE

    November 14, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

MAELEKEZO YA DC KWA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA NGAZI YA MITAA TARIME MJI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)
  • Instagram account

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.