• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

RC MTANDA AITA JAMII KUWAWEZESHA WANAWAKE

Posted on: March 8th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Said Mohamed Mtanda ameitaka jamii kuendelea kuwapa fursa wananawake ikiwa ni pamoja na kuwawezesha kwa nyaja zote ili waendelee kuwa sehemu ya kuleta maendeleo kwa ngazi ya familia na taifa kwa ujumla

Hayo ameyasema leo kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo kwa Mkoa wa Mara yamefanyika katika Halmashauri ya wilaya Bunda Nyamswa huku akisisitiza kuwa serikali itaendelea kuwapa ushirikiano

“tusiwafanye wanawake kuwa wategemezi ni lazima wanawake tuwawezeshe, tuwajenge na tuwape ujasiri wa kujiendesha na kusima  hata pale ikitokea mme kafariki’ amesema Mtanda

Aidha, Mtanda amewahakikishia wanawake mikopo ya  ya asilimia 10 kuwa itaendelea kutolewa pale Serikali itakapomaliza utaratibu wa namna bora ya kuwakopesha na kurejesha

Maadhimisho hayo hufanyika kila mwaka tarehe 8/3 na mwaka huu yamebeba kauli mbiu inayosema “wekeza kwa wanawake kuharakisha maendeleo ya taifa na ustawi wa jamii”

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA MITAA ILIYOMO KATIKA ENEO LA HALMASHAURI YA MJI TARIME September 16, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 26, 2024
  • MAELEKEZO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA MWAKA 2024 KATIKA HALMASHAURI YA MJI TARIME September 26, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI (AMREF) September 25, 2024
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • WAZAZI WAHIMIZWA KUENDELEA KUCHANGIA CHAKULA MASHULENI

    May 10, 2025
  • MBUNGE KEMBAKI AKABIDHI MADAWATI 70 HALMSHAURI YA MJI TARIME

    May 08, 2025
  • WANANCHI TARIME MJI WAENDELEA KUJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA ZAO

    May 06, 2025
  • MSAKO KWA WAZAZI AMBAO HAWAJAWAPELEKA WATOTO SHULE KUANZA

    April 30, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

DAS TARIME AITAKA TARIME TC KUSIMAMIA USAFI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.