• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

RC MTAMBI AWATAKA WANANCHI KUCHANGAMKIA FURSA YA MATIBABU TOKA KWA MADAKTARI BINGWA

Posted on: June 24th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Kanali Evans Alfred Mtambi leo amewapokea Madaktari Bingwa 45 waliopo katika Mpango wa Rais Samia watakaofanya kazi katika Hospitali za Halmashauri za Mkoa wa Mara kuanzia tarehe 24-28 Juni, 2024.

Akizungumza katika hafla ya kuwapokea madaktari hao, Mhe. Mtambi amesema Serikali imewaleta madaktari hao ili kuimarisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi wa Mkoa wa Mara kwa kuwaletea huduma za kibingwa katika ngazi ya Halmashauri zao na kuwataka kuchangamkia fursa hiyo.

“Hii itawapunguzia wagonjwa safari za kwenda mbali kutafuta huduma za kibingwa katika Hospitali za rufaa badala yake watazipata huduma za kibingwa karibu na maeneo yao” amesema Mhe. Mtambi.

Mhe. Mtambi amewataka madaktari wa hospitali zitakazofikiwa na wataalamu hao kutumia fursa hiyo kujifunza na kuongeza ujuzi wao katika kuwahudumia wananchi.

Mhe. Mtambi amewataka wadau wote wa sekta ya afya kuunganisha nguvu na kuhakikisha kampeni hiyo katika Mkoa wa Mara inafanyika kwa ufanisi wa hali ya juu na mikoa mingine ije Mkoa wa Mara kujifunza utekelezaji wa kampeni hiyo.

Mhe. Mtambi amezitaja huduma zitakazotolewa na madaktari hao ni pamoja na huduma za afya kwa watoto wachanga, huduma za uzazi, wajawazito na magonjwa ya wanawake, huduma ya magonjwa ya ndani, huduma za upasuaji na huduma za ngazi na usingizi.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji Tarime Ndg. Gimbana Ntavyo amesema maandalizi yote muhimu kwaajili huduma hizo katika Hosptali mji Tarime (Bomani) yamekamilika na kuwataka wananchi kujitokeza kwa wingi

"Maandalizi yote yamekamilika niwaombe wananchi waje sasa kwani hawa madaktari hawa Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. Samia amewaleta kwaajili yao" amesena Gimbana

Matangazo

  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU LA HALMASHAURI YA MJI TARIME May 23, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • KAMPENI YA MWEZI WA AFYA NA LISHE YA MTOTO YAANZA RASMI LEO

    June 02, 2025
  • DC GOWELE AWATAKA WANANCHI KUCHANGAMKIA FURSA CHUO CHA FDC

    June 02, 2025
  • MADIWANI TARIME MJI WAMONGEZA RAIS SAMIA

    May 30, 2025
  • SOYA ONE LIMITED YACHANGIA GUNIA 20 ZA MAHINDI KWA SHULE ZA MSINGI TARIME MJI

    May 20, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

DAS TARIME AITAKA TARIME TC KUSIMAMIA USAFI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.