• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

RC MTAMBI AWAKARIBISHA WANANCHI KWENYE MAADHIMISHO YA MARA DAY

Posted on: September 11th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhe. Kanali Evans Alfred Mtambi, ametoa wito kwa wananchi wote wa Mkoa wa Mara na wadau mbalimbali kujitokeza kwa wingi kushiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Mto Mara (Mara Day) yanayotarajiwa kufanyika kuanzia kesho Septemba 12 hadi Septemba 15 mwaka huu katika Viwanja vya Mwenge Wilayani Butiama.

Akizungumza na vyombo vya habari leo Mhe. Mtambi amesisitiza kuwa, lengo la maadhimisho hayo ni kuhamasisha umma juu ya umuhimu wa kuhifadhi vyanzo vya maji na ikolojia ya Mto Mara na kuongeza kuwa mto huo ni rasilimali muhimu 

"Umuhimu wa Mto si tu kwa Mkoa wa Mara na Tanzania, bali pia kwa mamilioni ya viumbe hai wakiwemo wanyama wanaohama kila mwaka kutoka Hifadhi ya Taifa ya  Serengeti hadi Maasai Mara nchini Kenya huku akisisitiza kuwa uhai wa bonde hilo unaenda sambamba na uhai wa jamii na uchumi wa nchi" amesema Mtambi 

Aidha, Mhe. Mtambi ametoa rai kwa wakazi wa Wilaya zote za Mkoa wa Mara zinazozunguka bonde la mto Mara na zile zisizopakana na mto huo, kujitokeza kwa wingi na kuunga mkono juhudi za serikali katika kulinda mazingira.

Maadhimisho ya mwaka huu yanatarajiwa kujumuisha shughuli mbalimbali, ikiwemo upandaji miti katika eneo la bonde la mto Mara, maonesho ya bidhaa za ufundi, michezo, na mijadala ya kitaalamu juu ya uhifadhi wa bonde la mto mara na mazingira kwa ujumla.

Maadhimisho ya Mara Day huadhimishwa kila ifikapo September 15 ya kila mwaka kwa kupokezana kati ya nchi za Tanzania na Kenya, zikiwa ni nchi zenye Bonde la Mto Mara na kutoa fursa ya kubadilishana uzoefu katika uhifadhi wa mazingira.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2025 NGAZI YA MKOA NA WILAYA July 05, 2025
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU LA HALMASHAURI YA MJI TARIME May 23, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • RC MTAMBI AWAKARIBISHA WANANCHI KWENYE MAADHIMISHO YA MARA DAY

    September 11, 2025
  • "CMT" TARIME MJI WATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

    September 08, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAZINDUA,WATEMBELEA NA KUWEKA JIWE LA MSINGI MIRADI YA 1.8 BILIONI TARIME MJI

    August 22, 2025
  • RC MTAMBI AWAONGOZA VIONGOZI NA WANANCHI KILELE CHA NANENANE NYAKABINDI

    August 08, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

HOTUBA YA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA TARIME MJINI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.