• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

MSAKO KWA WAZAZI AMBAO HAWAJAWAPELEKA WATOTO SHULE KUANZA

Posted on: April 30th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Meja Edward Flowin Gowele amewataka vyombo vya ulinzi na watumishi kuanzia ngazi ya Mtaa hadi Wilaya kuanza msako kwa wazazi au walezi ambao hawajawapeleka watoto shule na wale ambao wamewaachisha shule bila sababu ya msingi ili kuchukuliwa hatua za kisheria

Hayo ameyasema leo wakati wa mkutano wa waandishi wa habari kwenye ofisi yake na kusisitiza zoezi hilo litakuwa endelevu kwasababu kuna idadi kubwa ya wanafunzi kuendelea kuacha shule na wengine kutokupelekwa

"Nasisitiza wazazi na walezi kama wana watoto na hawajawapeleka shule au wamewaachisha ili waolewe, wafanye kazi nk. pona yao ni kuhakikisha wanarudi shule la sivyo tutawapeleka mahakamani kwa sababu wanawanyima haki yao ya msingi ya kupata elimu" amesema Gowele

Aidha, Mhe. Gowele ameitaka jamii kuendelea kutoa ushirikiano kwa viongozi hao ili kuwabaini wazazi au walezi ambao wamewaficha au kuwaachisha shule watoto hao ili waweze kuchukuliwa hatua na kuahidi kulinda taarifa watakazo wapo

"Mhe Rais ametengeneza miundo mbinu yote kwaajili ya watoto kusoma sasa haiwezekani wazazi kuamua kuminya haki hiyo niwaombe wananchi tushirikiane kwa pamoja tuwabaini hao wazazi me mimi ntahakikisha tunalinda hili tunataka jamii yetu ipate elimu


Matangazo

  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA MITAA ILIYOMO KATIKA ENEO LA HALMASHAURI YA MJI TARIME September 16, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 26, 2024
  • MAELEKEZO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA MWAKA 2024 KATIKA HALMASHAURI YA MJI TARIME September 26, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI (AMREF) September 25, 2024
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • MBUNGE KEMBAKI AKABIDHI MADAWATI 70 HALMSHAURI YA MJI TARIME

    May 08, 2025
  • WANANCHI TARIME MJI WAENDELEA KUJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA ZAO

    May 06, 2025
  • MSAKO KWA WAZAZI AMBAO HAWAJAWAPELEKA WATOTO SHULE KUANZA

    April 30, 2025
  • WAENDESHA BVR KIT NA WAANDISHI WASAIDIZI TARIME MJI WALA KIAPO NA KUPATIWA SEMINA

    April 29, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

DAS TARIME AITAKA TARIME TC KUSIMAMIA USAFI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.