• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

MAAFISA MAENDELEO YA JAMII TOENI ELIMU YA MIKOPO YA SERIKALI - MDEMU

Posted on: April 18th, 2025

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Bi. Felister Mdemu Amewataka maafisa maendeleo ya jamii katikz Halmashauri ya Mji Tarime kuongeza kazi ya utoaji elimu kuhusu Fursa mbalimbali za mikopo ya Serikali kwa wananchi

Hayo ameyesema jana tarehe 17/04/2025 kwenye mwendelezo wa kampeni ya Mageuzi ya Kifikra na amsha ari Wilayani hapo huku akisistiza wanachi kuchangamkia fursa hizo kwaajili ya kijiinua kiuchumi

“Niwaombe sasa Maafisa wetu kuhakikisha elimu ya mikopo ya Serikali mbalimbali inafika huku chini wananchi waweze kujua Serikali yao inavyohitaji mabadiriko ya kiuchumi kwa kuwawezesha kupitia hiyo mikopo wasaidieni wananchi” amesema Mdemu

Aidha, amewasihi Wazee wa Mila Wilayani hapo kuendelea kusaidiana na jamii katika malezi ya watoto ili kujenga jamii yenye maadili mazuri na yenye kuleta maendeleo nchini

Kwa Upande wake Diwani wa Kata ya Nyandoto Mhe. Sabega Sinda ameishukuru Wizara hiyo kwakutoa elimu mbalimbali kwa wananchi na kuahidi kuendelea kufatilia na kusimamia maelekezo yote waliotoa ili wananchi wanufaike na fursa mbalimbali

“Elimu tulioipata hapa kwa muda huu itoshe kusema itabadili maisha ya wananchi wetu, Fursa hizi tutahakikisha tunazitumia katika kuleta maendeleo ya katika kaya zetu” amesema Sabega

Kampeni hiyo iliyobebaba kauli mbiu ya “Samia na Maendeleo Hadi kieleweke” Kitaifa ilizinduliwa Wilaya Tarime Mkoani Mara tarehe 14/04/2025 na imehitimishwa tarehe 17/04/2025

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2025 NGAZI YA MKOA NA WILAYA July 05, 2025
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU LA HALMASHAURI YA MJI TARIME May 23, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • WAHUDUMU WA AFYA TARIME MJI WAJENGEWA UWEZO WA KUTUMIA VIFAA TIBA

    June 26, 2025
  • MBUNGE KEMBAKI AKABIDHI MADAWATI 150 TARIME MJI

    June 24, 2025
  • WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KUHESHIMU HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • RC MTAMBI AIPONGEZA TARIME MJI KWAKUPATA HATI SAFI MARA 5 MFULULIZO

    June 05, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

DAS TARIME AITAKA TARIME TC KUSIMAMIA USAFI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.