• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO TARIME MJI YAPANDA MITI

Posted on: April 24th, 2024

Mkuu wa wilaya ya Tarime Mhe. Kanali Hassan Maulid Surumbu amewaongoza wananchi na viongozi mbalimbali wa wilaya hiyo kupanda miti 520 Pembezoni mwa Mto Mori ikiwa ni shughuli mbalimbali za kuelekea kuadhimisha miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26/04/2024

Zoezi hilo limefanyika katika Mtaa wa Kinyambi Kata ya Nkende pembezoni mwa Mto Mori, huku Mhe. Surumbu akiwahasa wananchi kuendelea kutunza mazingira na kuhakikisha wanasimamia miti hiyo iweze kukua vizuri

"Tunaelekea kusherekea miaka 60 ya Muungano wetu ni vyema pia tukajua utunzaji wa mazingira katika taifa letu la Tanzania ni jukumu letu kwani ni kipaumbele pia cha Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan hivyo tuisimamie vizuri miti ili iweze kukua" amesema Surumbu

kauli mbiu ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar " miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , tumeshikamana na tumeimalika kwa maendeleo ya Taifa letu"

Matangazo

  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU LA HALMASHAURI YA MJI TARIME May 23, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • DC GOWELE AWATAKA WANANCHI KUCHANGAMKIA FURSA CHUO CHA FDC

    June 02, 2025
  • MADIWANI TARIME MJI WAMONGEZA RAIS SAMIA

    May 30, 2025
  • SOYA ONE LIMITED YACHANGIA GUNIA 20 ZA MAHINDI KWA SHULE ZA MSINGI TARIME MJI

    May 20, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI MAFUNZO YA UOMBAJI WA VIBADANDA SOKO KUU TARIME

    May 15, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

DAS TARIME AITAKA TARIME TC KUSIMAMIA USAFI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.