• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

DC GOWELE AWATAKA WAZEE WA KOO 12 TARIME KUPINGA VITENDO VYA UVUNJIFU WA AMANI

Posted on: November 14th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Meja Edward Gowele amewataka wazee wa koo 12 za Wakurya Wilaya ya Tarime kuendelea kushirikiana na Serikali kupinga na kukata vitendo vyote vya uvunjifu wa amani katika Wilaya hiyo

Hayo ameyasema Leo wakati wa kikao na wazee hao kilichofanyika Mtaa wa Magena shule kata ya Nkende Halmashauri ya Mji Tarime huku akisisitiza utoaji wa Taarifa pale wanapoona kuna viashiria vya uvunjifu wa amani 

"Nawashukuru Sana kwakuendelea kuwa bega kwa bega na Serikali kukataa watu ambao nia yao ni kuvunja amani ya inchi yetu endeleeni kukemea katika koo zenu ili tuwathibiti vijana wanaoleta Fujo" amesema Gowele

Aidha, amewahakikishia wananchi wa Wilaya hiyo kutokuwa na wasiwasi na kuendelea kufanya shughuli zao za kila siku kwani Tarime ina amani na vyombo vya usalama vimejipanga vizuri kuhakikisha hakuna vurugu itakayotokea 

Kwa upande wake Mwenyekiti wa wazee wa koo 12 Tarime Bw. Mwikwabe Makabe amesema wataendelea kusimama na Serikali kwakutoa elimu na kuonya jamii juu uvunjifu wa amani ambao unaweza kutokea

"Sisi wazee tumekusikia hapa tutaanza vikaoo kwenye kila koo tutapita na tutaonya Vijana ili amani yetu iendelee maana bila amani sisi wazee pia tutapata shida hivyo tutashirikiana Sana kwa ajili ya hili" amesema Mwikwabe


Matangazo

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ULICHOJIANDIKISHIA September 16, 2025
  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO UNAOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA WATENDAJI WA VITUO AMBAO HAWAKUFIKA KWENYE USAILI WA KWANZA ULIOFANYIKA TAREHE 13/10/2025 October 14, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • DC GOWELE AFANYA KIKAO NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA NGAZI MTAA TARIME MJI

    November 21, 2025
  • TARIME MJI YAENDELEA KUFANYA VIZURI HALI YA AFYA NA LISHE

    November 14, 2025
  • DC GOWELE AWATAKA WAZEE WA KOO 12 TARIME KUPINGA VITENDO VYA UVUNJIFU WA AMANI

    November 14, 2025
  • WAJUMBE WA KAMATI YA BAJETI TARIME MJI WAPIGWA MSASA

    November 13, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

MAELEKEZO YA DC KWA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA NGAZI YA MITAA TARIME MJI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)
  • Instagram account

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.