• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

DC GOWELE AWATAKA WANANCHI TARIME MJI KUKATA VIBALI KABLA YA UJENZI

Posted on: October 8th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Meja Edward Gowele amewataka wananchi wa Halmashauri ya Mji Tarime kuhakikisha wanapata vibali vya ujenzi toka Halmashauri ili kuepusha migogoro ya ardhi

Wito huo ameutoa leo wakati akitatua mgogoro wa ardhi katika Mtaa wa Nyangai Kata ya Sabasaba Halmashauri ya Mji Tarime huku akiwasisitiza watumishi kuwasaidia wananchi wanapotaka kuanza kujenga

"ili kuepushga migogoro kama hii niwaombe sana wananchi tuwe na desturi ya kufata taratibu zilizowekwa na Serikali ili msije kuingia gharama ya bure hivyo hakikisha una kibali cha ujenzi kabla ya kuanza ujenzi" Amesema Gowele

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Mtaa huo Bw. Nyamite Mwita amemshukuru mkuu wa Wilaya na kumhakikishia kuendelea kufatilia na kutoa elimu kwa wananchi ili ujenzi mbalimbali ufate utaratibu

"kwa niaba ya Wananchi wangu tunasema asante kwa kuja na timu yako leo tumepata elimu na kutatua mgogoro huu tunaahidi kuyuafanyia kazi maelekezo yako" amesema Nyamwite

Mgogoro huo ulikuwa unahusu mwananchi wa Mtaa huo kujenga Nyumba ya Biashara kwenye eneo la Barabara na umepatiwa ufumbuzi leo na Mkuu wa Wilaya ya Tarime

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2025 NGAZI YA MKOA NA WILAYA July 05, 2025
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ULICHOJIANDIKISHIA September 16, 2025
  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO UNAOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 30, 2025
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU LA HALMASHAURI YA MJI TARIME May 23, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • DC GOWELE AWATAKA WANANCHI TARIME MJI KUKATA VIBALI KABLA YA UJENZI

    October 08, 2025
  • WADAU TARIME MJI WAPEWA ELIMU YA MPANGO KABAMBE WA UBORESHAJI WA MJI

    September 27, 2025
  • TD GiMBANA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA ROBO YA NNE

    September 20, 2025
  • MARA DAY 2025 YAHITIMISHWA

    September 16, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

HOTUBA YA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA TARIME MJINI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.