• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

DC GOWELE AKUTANA NA VIONGOZI WA DINI WILAYA TARIME

Posted on: April 11th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe Meja Edward Flowin Gowele amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Dini katika Wilaya hiyo na kuwataka waendele kuhubiri amani hasa tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba 

Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Tarime ambapo amewasisitiza kutoruhusu majukwaa ya dini kuwa sehemu za siasa

"Leo tumekutana hapa kuzungumza na kufahamia niwaombe sana tuendelee kusisitiza utulivu na amani katika Wilaya yetu maana ndo msingi mkubwa wa maendeleo" amesema Gowele

Aidha, amewaomba waendelee kuliombea taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ili azidi kuendelea kuleta maendeleo katika Taifa 

Kwa upande wao Viongozi wa dini wamemshukuru sana Mkuu wa Wilaya kwa kuwakutananisha na kuahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Serikali na kuyafanyia kazi maelekezo yote aliyotoa 

Matangazo

  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU LA HALMASHAURI YA MJI TARIME May 23, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • WAHUDUMU WA AFYA TARIME MJI WAJENGEWA UWEZO WA KUTUMIA VIFAA TIBA

    June 26, 2025
  • MBUNGE KEMBAKI AKABIDHI MADAWATI 150 TARIME MJI

    June 24, 2025
  • WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KUHESHIMU HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • RC MTAMBI AIPONGEZA TARIME MJI KWAKUPATA HATI SAFI MARA 5 MFULULIZO

    June 05, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

DAS TARIME AITAKA TARIME TC KUSIMAMIA USAFI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.