• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

DC GOWELE AJITAMBULISHA RASMI KWA WAZEE WA KIMILA TARIME

Posted on: September 19th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Meja Edward Gowele amejitambulisha rasmi kwa wazee mbalimbali katika Wilaya Tarime huku akiwataka kuendelea kudumisha amani katika Wilaya kwakukemea maovu katika jamii

Kikao hicho kimefanyika leo Septemba 19 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Tarime ambapo amewataka kutumia nafasi zao katika jamii kuendeleza amani na utulivu uliopo katika Wilaya hiyo

"Mimi ni kijana wenu ntaendelea kuwsaikiliza na kupokea ushauri wenu niwaombe tuendelee kusimamia amani iliyopo katika Wilaya yetu kwakumea vitendo vyote vya kikatili, wizi na vinginevyo ili wananchi waendelee kufanya kazi kwa amani" amesema Gowele

Aidha, amewaahidi kutembelea katika kata zao kwaajili ya kusikiliza na kutatua kero zilizopo kwa wananchi wote kama sehemu ya maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan

''Maelelekezo ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha tunamaliza kero zilizopo huko mitaani niwaahidi ntaanza kufanya ziara ya Kata kwa Kata ili kuweza kusikiliza na kutatua naamini mtanipa ushirikiano katika hili" Amesema Gowele

kikao hicho kiliudhuriwa na wazee 60 wakiwemo wawakilishi toka Halmashauri ya Mji na Wilaya Tarime, wazee toka koo 12, wazee mashuhuri na viongozi wa wazee ndani ya Tarime

Matangazo

  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU LA HALMASHAURI YA MJI TARIME May 23, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • MADIWANI TARIME MJI WAMONGEZA RAIS SAMIA

    May 30, 2025
  • SOYA ONE LIMITED YACHANGIA GUNIA 20 ZA MAHINDI KWA SHULE ZA MSINGI TARIME MJI

    May 20, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI MAFUNZO YA UOMBAJI WA VIBADANDA SOKO KUU TARIME

    May 15, 2025
  • MADIWANI WARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA MIRADI MBALIMBALI TARIME MJI

    May 15, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

DAS TARIME AITAKA TARIME TC KUSIMAMIA USAFI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.