• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

"CMT" TARIME MJI WATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: September 8th, 2025

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mji Tarime Bi Gimbana Ntavyo amewaongoza wakuu wa Idara na Vitengo kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri hiyo

Akizungumzia baada ya ukaguzi huo Bi. Gimbana amewataka mafundi wanaoendelea na ujenzi wa miradi hiyo kuongeza Kasi ya ujenzi ili miradi hiyo iweze kukamilika kwa muda uliopangwa

"Hakuna sababu ya kuchelewesha miradi hii, mnatakiwa kukamilisha Kama tulivyokubaliana maana wananchi wanahitaji kutumia miradi hii ya Maendeleo" amesema Gimbana

Aidha, amewasisitiza wakuu wa Idara wenye Miradi kuhakikisha wanaongeza nguvu ya kufatilia pamoja na kukagua miradi hiyo Mara kwa mara ili iweze kukamilika kwa viwango vilivyopangwa

Miradi iliyotembelewa ni kichomea taka, jengo la kuhifadhia maiti, shule ya amali ya Nyagesese, nyumba ya walimu na maeneo ya ujenzi wa miradi mipya ya Maendeleo 

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2025 NGAZI YA MKOA NA WILAYA July 05, 2025
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU LA HALMASHAURI YA MJI TARIME May 23, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • RC MTAMBI AWAKARIBISHA WANANCHI KWENYE MAADHIMISHO YA MARA DAY

    September 11, 2025
  • "CMT" TARIME MJI WATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

    September 08, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAZINDUA,WATEMBELEA NA KUWEKA JIWE LA MSINGI MIRADI YA 1.8 BILIONI TARIME MJI

    August 22, 2025
  • RC MTAMBI AWAONGOZA VIONGOZI NA WANANCHI KILELE CHA NANENANE NYAKABINDI

    August 08, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

HOTUBA YA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA TARIME MJINI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.